Wananchi Wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mnatangaziwa kuwa patakuwepo na zoezi la Chanjo ya Mifugo yote Kuanzia Tarehe 21/02/2017. Wananchi wote Mnaombwa Kutoa Ushrikiano.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.