Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba anawatangazia wamiliki wote wa Vibanda maeneo ya Stand na Sokoni kuwa wapangaji wote wa vibanda walipie Kodi ya vibanda mapema iwezekanavyo, ili kuepusha usumbufu utakaojitokeza kutokana na ucheleweshaji wa kulipa kodi hizo.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.