• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

Tangazo la Kulipia Lesseni na Kodi ya Huduma

01 December 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Iramba Bwana. Linno Mwageni anawatangazia kuwa wale wote wanaopanga vibanda vya stendi na Sokoni kulipia Ushuru wa Vibanda hivyo Kuanzia Tarehe 1/12/2017 hadi 17/12/2017.

Kuanzia Tarehe 18/12/2017 Msako Mkali Utapita Kipanda kwa Kibanda, Duka kwa Duka Kubaini watu WatakaoKaidi Agizo la Mkurugenzi Mtendaji, Hatua Kali za Kinidhamu zitachukuliwa Dhidi yake ikiwa ni Pamoja na Faini au Itakavoamuliwa na Mamlaka Husika.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji anawatangazia wale wote wanaofanya Biashara Kulipia LESSENI na KODI ZA HUDUMA Kabla ya Msako Mkali Utakaoambatana na Faini

Tangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO (WASIMAMIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA) October 23, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • MAZOEZI YA VIUNGO YA KILA IJUMAA KWA WATUMISHI NA WANANCHI WOTE WA KIOMBOI NA MAENEO YA JIRANI

    November 27, 2025
  • RATIBA YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KATA YA KASELYA

    November 25, 2025
  • DC MWENDA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WILAYANI IRAMBA KWA MATOKEO MAZURI MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

    November 24, 2025
  • DONDOO YA YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO WA HADHARA WA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA, ULIOFANYIKA KATIKA UWANJA WA BOMBADIA, SINGIDA

    November 21, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.