Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba anapenda kuwakaribisha wananchi wote wa Irambakatika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika katika Kata yaShelui.
Kauli Mbiu ya Maadhimishoni "Kuelekea Uchumi wa Viwanda,Tuimarishe Usawa wa Jinsia na UwezeshajiWanawake Vijijini”
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.