Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba nafasi mbalimbali kujaza nafasi wazi katika Halmashauri ya wilaya ya Iramba kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/05/2018-25/05/2018 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi kwa waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Kwa kujua majina yawaliofanikiwa kuitwa kwenye Usaili huo, Bofya TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI .pdf
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.