Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni anawatangazia Wananchi wote Wamiliki wa viwanja Wilaya ya Iramba kuwa mwisho wa kulipa kodi ya ardhi kwa hiari ni Tarehe 30/04/2018. Baada ya hapo, wadaiwa wote wa kodi ya ardhi watapelekwa MAHAKAMANI. Watafutiwa umiliki wa viwanja walivyomiliki au kuuzwa nyumba wanazomiliki ili kufidia kodi ya aridhi wanazodaiwa. Kuepuka hayo lipa kodi yako ya ardhi kabla ya Tarehe 30/04/2018.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.