Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Iramba imekadiria na kupitisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2018/2019 kiasi cha shilingi Bilioni 34,447,096,722 kutoka serikari kuu, wadau mbalimbali wa maendeleo na makusanyo ya halmshauri.
Akisoma rasimu ya mpango wa Halmashauri kwa Miaka 2018/2019 na Makisio ya Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mwl.Linno Mwageni alivitaja vyanzo vya kufanikisha Bajeti hiyo kuwa ni Serikali Kuu, Wahsani, Halmashaurina Mchango wa Jamii.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.