• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Comments |
Iramba District Council
Iramba District Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Iramba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

DC MWENDA AAGIZA LISHE KUWA AJENDA YA KUDUMU KATIKA JAMII

Posted on: November 1st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda, ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kulipa kipaumbele swala la lishe katika jamii.


Mwenda ameyasema hayo Novemba 1, 2024, katika Viwanja vya Halmashauri wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe.


DC Mwenda amesisitiza umuhimu wa kuwa na bustani ya mbogamboga katika shule zote za Msingi na Sekondari zilizopo Wilayani Iramba, ili kuwajengea wanafunzi utamaduni wa lishe bora kwa vitendo. Aliongeza kuwa shughuli hizi zinapaswa kuanzia uzalishaji, uandaaji, na matumizi ya mboga mboga kwa wingi, hivyo kuitengeneza jamii inayojali Afya bora kupitia lishe bora.


Aidha, alishauri kuwepo kwa kitalu nyumba (greenhouse) katika moja ya shule za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, kitakachosaidia katika upatikanaji wa lishe bora kwa wanafunzi wote wakati wote wa mwaka.


Mwenda pia alisisitiza umuhimu wa kuingiza ajenda ya lishe katika vikao vya kata ili kufuatilia kwa ukaribu mafanikio na changamoto, kwa lengo la kuikomboa jamii kutoka kwenye madhara ya lishe duni, kama vile magonjwa yasiyoambukizwa kama shinikizo la damu na kisukari.


Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Joyce Maganga amesema kuwa ,Halmashauri hiyo inatoa huduma za afya kupitia vituo 47,ikiwemo ushauri wa masuala ya lishe katika jamii.


Maganga amesisitiza Wazazi kuhakikisha Watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanapata mlo wenye Makundi Sita ya vyakula ili kuwalinda na udumavu wa mwili na akili, ambao huathiri uelewa wao darasani

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO (MBEGU, MBOLEA NA VIUATILIFU) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA DISEMBA 29-30, 2025

    December 28, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026

    December 25, 2025
  • DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

    December 09, 2025
  • HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2025
  • View All

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
More Videos

Quick Links

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Related Links

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    KIOMBOI, IRAMBA

    Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Telephone: 026 - 2532253

    Mobile: 026 - 2533001

    Email: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.