Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya iramba Mhe: Simion Tiyosera, Mkuu wa wilaya ya Iramba Mhe: Emmanuel Luhahula pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni wakisikiliza kwa makini Madiwani na wakuu wa Idara na vitengo wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba kwenye kikao cha Baraza la madiwani.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba, ambaye pia ni Diwani wa CCM Kata ya Urughu, Mhe: Simion Tiyosera ameendesha kikao cha Baraza la Madiwani wilayani hapa na kujadili mambo mbalimbali.
Madiwani wakifuatilia majadiliano katika kikao hicho yakiendelea katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Iramba katika ukumbi wa halmashauri.
Baadhi ya wakuu wa idara na vitengo wa halmshauri ya wilaya ya Iramba wakifuatilia majadiliano.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.