Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mwl. Linno P. Mwageni akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Walimu wa Shule za Misingi Kutoka Kata ya Kisiriri, Mbelekese na Mgongo kwenye Mafunzo ya Kukuza Uwezo na Ujuzi wa Kufundisha Somo la Hisabati shule za Misingi.
Agenda ya Kongamano hilo ni Kukuza Umahiri wa Namba Kamili Katika Matendo ya Jumlisha na Kutoa , Kuchambua Muhtasari wa Somo la Hisabati shule za Misingi na Kubaini Matendo Katika Namba Kamili Katika Somo la Hisabati. Kauli mbiu: HISABATI ni MAISHA.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.