Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwiguru L.Nchemba(Mb) akiwa kwenye picha ya Pamoja na Madiwani wa Wilaya ya Iramba Katika maandalizi ya kucheza mechi ya Kirafiki na Watumishi wa Halmashauri wa ya Wilayaya Iramba.
Aidha Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wameibuka Kidedea Kwa Kufunga timu ya Madiwani Magori 6 kwa 3 ambapo Dkt. Mwiguru L. Nchemba ameifungia Timu ya Madiwani Magori 2.

Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wakiwaKwenye Picha ya Pamoja.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.