Miradi iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru ni pamoja na
i. Uwekaji wa Jiwe la msingi wa Nyumba bora ya mwananchi Kata ya Kaselya

ii. Mwenge wa Uhuru kuzindua kikundi cha akina mama (Upendo group) kata ya Mbelekese

iii. Mwenge wa uhuru kuweka jiwe la msingi zahanati ya ushora

iv. ZAHANATI YA UJUNGU
v.Kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la mto na makaravati.

vi. Kufungua ghala la kuhifadhi mazao ya chakula na biashara

vii. Kuweka jiwe la msingi kiwanda cha kusindika mboga mboga-salala

viii.Kuzindua nyumba za walimu (6 in 1)

ix. Kuzindua kikundi cha vijana wajasiriamali wa bodaboda

x.
Kugawa vyeti kwa vija wa bodaboda waliohudhuria mafunzo ya mapambano dhidi ya rushwa.
Picha zote na Seif Takaza
“SHIRIKI KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA KWA MAENDELEO YA NCHI”
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.