Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mwl. Linno Mwageni amepokea Msaada wa Bati 360 G28 kutoka kwa manager Mkuu wa Singida Eng. Philibert Rweyemamu wa Kampuni ya SHANTA MINING CO. LTD.
Mwl. Linno Mwageni ametoa Shukrani za Dhati kwa msaada wa mabati 360 G28 Katika Halmashauri ya Wilaya Iramba kutoka kampuni ya SHANTA MINING CO.LTD kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mhe. Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu L. Nchemba katika Kuimarisha huduma zinazotolewa katika sekta ya Elimu na Afya.

KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.