Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni amekabidhi vitabu kwa Walimu Wakuu wa shule za msingi na sekondari ambazo zinafanya kazi na Haki Elimu wilayani Iramba.
Mwl. Mwageni ameshukuru sana kwa uwekezaji huo kwenye sekta ya Elimu na vitabu hivyo vitawajengea wanafunzi uwezo mkubwa wa kudadisi.

KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.