Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akipanda Mti KatikaKijiji cha Ng’anguli Kata ya Maluga Tarafa ya Kinampanda Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel Luhahula akipanda Mti Katika Kijiji cha Ng’anguli Kata ya Maluga Tarafa ya Kinampanda Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Iramba BwanaLinno Mwageni akipanda Mti Katika Kijiji cha Ng’anguli Kata ya Maluga Tarafa ya Kinampanda Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.