Uongozi wa Mkoa wa Singinda Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Iramba Dr. Boniphace Marwa ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba na viongozi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wamekagua Visima vya Maji Kijiji cha Kisiriri Kata ya Kisiriri na Kijiji cha Kyamsange Kata ya Kinampanda ambavyo vipo hatua ya uchimbaji. Vilevile wamekagua Ukarabati wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Ndago ambacho kipo hatua ya Msingi na Kituo cha Afya Kata ya Kinampanda ambacho kipo hatua ya Madirisha Wilayani Iramba Mkoani Singida.
Uongozi wa Mkoa wa Singinda pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Iramba Dr. Boniphace Marwa ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba na viongozi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wakiwa kwenye Kituo cha Afya Kata ya Kinampanda ambacho kipo hatua ya Madirisha Wilayani Iramba Mkoa wa Singida.
Uongozi wa Mkoa wa Singinda pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Iramba Dr. Boniphace Marwa ambaye Pia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba na Viongozi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba wakiwa kwenye Ukarabati wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Ndago ambacho kipo hatua ya Msingi Wilayani Iramba Mkoa wa Singida.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.