• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

WATENDAJI WA KATA WILAYANI IRAMBA WAPATIWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Posted on: January 23rd, 2025

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imetoa mafunzo kwa Maafisa Watendaji wa Kata zote 20 za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Mafunzo hayo yamefanyika Januari 23, 2025 katika Ukumbi mkubwa wa mikutano wa Halmashauri.


Mafunzo hayo yametolewa na Wawezeshaji kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), makao makuu Dodoma, wakiongozwa na Makamu mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Mohamed Khamis Hamad


Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo Mhe. Mohamed Khamis Hamad amesema moja ya majukumu ya tume ni Pamoja na kutoa elimu kwa umma katika makundi mbali kama vile viongozi, wananchi wa kawaida, wanafunzi na watendaji wa kata nchini ambao hupata taarifa kwa urahisi zaidi kutoka kwa wananchi.


“Ninyi ndio mnakaa na wananchi, mnapata taarifa nyingi. Tukiwa karibu na nanyi na ushirikiano mzuri tutapata taarifa nyingi kwa kwaajili ya kuleta ustawi wa wananchi wetu.” Amesema Mhe. Mohamed Khamis Hamad


Mafunzo yamelenga kuwakumbusha Watendaji namna ya kukabiliana na changamoto za uvunjifu wa haki za binadamu ikiwemo masuala ya ukatili wa kijinsia, utatuzi wa migogoro mbalimbali katika maeneo yao, pamoja na utekelezaji wa majukumu kwa nafasi zao kwa kuzingatia misingi ya Utawala Bora.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • SIKU YA UKIMWI DUNIANI DISEMBA 1,2025

    December 01, 2025
  • MAZOEZI YA VIUNGO YA KILA IJUMAA KWA WATUMISHI NA WANANCHI WOTE WA KIOMBOI NA MAENEO YA JIRANI

    November 27, 2025
  • RATIBA YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KATA YA KASELYA

    November 25, 2025
  • DC MWENDA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WILAYANI IRAMBA KWA MATOKEO MAZURI MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

    November 24, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.