• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Comments |
Iramba District Council
Iramba District Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Iramba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 271 ZIMETUMIKA KUJENGA ZAHANATI YA KIJIJI CHA WEMBERE ILIYOPO KATA YA SHELUI, TARAFA YA SHELUI WILAYA YA IRAMBA MKOANI SINGIDA.

Posted on: August 31st, 2023

ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 271 ZIMETUMIKA KUJENGA ZAHANATI YA KIJIJI CHA WEMBERE ILIYOPO KATA YA SHELUI, TARAFA YA SHELUI WILAYA YA IRAMBA MKOANI SINGIDA.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Innocent S Msengi;  Amezindua rasmi Zahanati ya Kijiji cha Wembere  Kata ya Shelui Tarafa ya Shelui Wilayani Iramba Zahanati ambayo inakusudiwa kuhudumia wananchi wapatao 2,1,06 katika Kijiji hicho Cha Wembere.


 Aidha Msengi,Akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi, kwa lengo la kushuhudia uzinduzi wa Zahanati hiyo amewataka wananchi hao kuhudhuria kikamilifu na Kupata matibabu katika Zahanati hiyo, kwani kwa sasa changamoto ya kufuata matibabu kwa mwendo mrefu umeisha.


Msengi  Amesema kuzinduliwa kwa Zahanati hiyo kutaondoa  kabisa vifo vya akina Mama na watoto  ambao walikuwa wanayapata  wakati wanafuata Matibabu Shelui au Mtoa  na halikadhalika katika Hospitali ya Wilaya.


Mwenyekiti huyo wa Halmashauri, Amesema kwa sasa vifo vya akina mama vitapungua kwa asilimia kubwa  kutokana na kukamilika kwa Zahanati nyingi katika vijiji Wilayani Iramba, lakini pia pindi vituo vya Afya vya Mtoa, na Shelui vitakapokamilika vitafanya vifo vya mama na mtoto kuwa ni historia katika Wilaya ya Iramba.


Aidha Msengi  amebainisha kuwa Mpaka sasa,Tayari Tsh. Milioni 280 zimeletwa kumalizia Kituo cha Afya Mtoa, Huku jumla ya Tsh.Milioni 120 zimeingia tayari kwa ajili ya Kukamilisha Kituo Cha Afya Shelui, na kuongeza kuwa tayari shilingi Milioni 200 zimeletwa Kukamilisha ujenzi wa  Zahanati ya Kinambeu  Ili kuhudumia wananchi wa eneo hilo.na wiki iliyopita zahanati hiyo imeanza kutoa huduma


Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba Dkt. Hussein Sepoko amesema  Zahanati ya Wembere  imekamilika na tayari imepewa  Vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi  Milioni 100 huku wahudumu wa Afya wawili tayari wamefika  kwa ajili ya kuwahudumia wananchi.


Aidha wananchi wa Kijiji hicho wameishukuru serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kuhusiana na Afya zao na sasa wamepona kilio chao cha muda mrefu


Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO (MBEGU, MBOLEA NA VIUATILIFU) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA DISEMBA 29-30, 2025

    December 28, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026

    December 25, 2025
  • DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

    December 09, 2025
  • HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2025
  • View All

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
More Videos

Quick Links

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Related Links

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    KIOMBOI, IRAMBA

    Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Telephone: 026 - 2532253

    Mobile: 026 - 2533001

    Email: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.