• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Comments |
Iramba District Council
Iramba District Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Iramba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WILAYA YA IRAMBA

Posted on: August 13th, 2024

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mheshimiwa Innocent Msengi Agosti 13,2024, imefanya ziara ya siku moja  ya kukagua miradi ya maendeleo ya miundombinu ya elimu na afya katika wilaya hiyo.


Katika ziara hiyo Wajumbe hao waliambatana na wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Lengo la ziara hiyo likiwa ni kutathmini maendeleo ya miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaokubalika.

Wakati wa ziara hiyo, kamati ilikagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari Kaselya  na Shule ya Msingi Urughu, Ujenzi wa Matundu 5 ya Vyoo,Kichomea taka na mnara wa maji katika  zahanati ya Kaselya.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mhe. Innocent Msengi amewapongeza Wataalamu wa Halmashauri na wasimamizi wa Miradi kuhakikisha Miradi inatekelezwa kwa ubora ili iweje kudumu muda mrefu na kutoka huduma Bora kwa wananchi.

"Tumefurahishwa na maendeleo ya miradi hii," alisema Mhe. Innocent Msengi. "Tunawaagiza wasimamizi wa miradi hii wahakikishe inakamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu. Tunataka wananchi wa Tunduru waanze kunufaika na miradi hii haraka iwezekanavyo."Alisema Mheshimiwa Msengi.

Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango pia walipongeza mwenendo wa ujenzi wa miradi hiyo na kuwataka wasimamizi wahakikishe kuwa inajengwa kwa uadilifu na kwa uwazi. Walisisitiza pia umuhimu wa ushirikiano kati ya kamati za ujenzi na wananchi katika kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa mafanikio.

Aidha ziara hii ni sehemu ya juhudi za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba ya kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na kwa uwazi. Halmashauri inaamini kuwa miradi hii itaboresha maisha ya wananchi wa Iramba kwa kiasi kikubwa.

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO (MBEGU, MBOLEA NA VIUATILIFU) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA DISEMBA 29-30, 2025

    December 28, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026

    December 25, 2025
  • DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

    December 09, 2025
  • HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2025
  • View All

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
More Videos

Quick Links

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Related Links

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    KIOMBOI, IRAMBA

    Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Telephone: 026 - 2532253

    Mobile: 026 - 2533001

    Email: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.