Afisa wa Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Iramba Bw. Benjamin Masyaga akitoa elimu kwa wanakijiji wa kijiji cha Mseko kuhusu madhara ya rushwa, njia za kupambana na rushwa n.k. Nyuma yake waliokaa ni Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Emmanuel Luhahula pamoja na timu ya wataalam alioambatana nayo na viongozi kutoka ngazi ya Kijiji, Kata na Tarafa.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.