Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel Luhahula akijibu maswali ya wananchi na kutatua changamoto zinazowasibu wanakijiji wa kijiji cha Mseko. Hii ni moja ya mikutano ambayo mkuu wa Wilaya ya Iramba hufanya na wananchi wake ili kuzijua changamoto zinazowasibu na kuzitatua au kuzifikisha hatua mahsusi ili zifanyiwe kazi. Mkutano huu ulifanyika mnamo tarehe 14/11/2019 katika kijiji cha Mseko kata ya Mgongo Tarafa ya Shelui ambapo aliambatana na wataalamu kutoka sekta ya Kilimo, Afya na TAKUKURU.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.