Afisa Afya wa Wilaya ya Iramba Ndg. Shilla akielimisha mambo mbalimbali yahusuyo afya kwa wanakijiji wa kijiji cha Mseko. Ni katika ziara ya mkuu wa Wilaya Mhe. Emmanuel Luhahula katika Tarafa ya Shelui. Baadhi ya mambo aliyo sistiza afisa Afya ni juu ya ujenzi wa vyoo bora, afya ya mama na mtoto, CHF iliyoboreshwa n.k.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.