Afisa Elimu Kata ya Mgongo Tarafa ya Shelui Bw. Godfrey Kitundu akizungumza na wananchi wa Mseko katika ziara ya Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Emmanuel Luhahula katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Pichani waliokaa kwenye viti ni Mkuu wa Wilaya akiwa na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Kijiji, Tarafa na Wilaya.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.