Posted on: March 13th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mh: Emmanuel Luhahula amefanya ziara ya kutembelea ujenzi na Ukarabati wa Kituo cha Afya kijiji cha Kyalusanga Kata ya Kinampanda.
Katika Ziara hiyo, Mhe: Emmanuel Luhahula...
Posted on: March 8th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Iramba ambaye alikuwa Mgeni rasmi kwenye siku ya Wanawake Duniani Wilayani Iramba Mkoa wa Singida Mhe: Emmanuel Luhahula akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iram...
Posted on: March 3rd, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mwl. Linno Mwageni amepokea Msaada wa Bati 360 G28 kutoka kwa manager Mkuu wa Singida Eng. Philibert Rweyemamu wa Kampuni ya SHANT...