Posted on: November 15th, 2019
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel Luhahula akijibu maswali ya wananchi na kutatua changamoto zinazowasibu wanakijiji wa kijiji cha Mseko. Hii ni moja ya mikutano ambayo mkuu wa Wilaya ...
Posted on: November 14th, 2019
Afisa Kilimo wilayani Iramba Ndg. Mwampashe Zawadi akiwaelimisha wananchi katika kijiji cha Mseko juu ya kilimo bora na matumizi bora ya mbegu na mbolea. ...
Posted on: November 14th, 2019
Afisa Afya wa Wilaya ya Iramba Ndg. Shilla akielimisha mambo mbalimbali yahusuyo afya kwa wanakijiji wa kijiji cha Mseko. Ni katika ziara ya mkuu wa Wilaya Mhe. Emmanuel Luhahula katika Tarafa y...