Posted on: November 14th, 2019
Afisa Kilimo wilayani Iramba Ndg. Mwampashe Zawadi akiwaelimisha wananchi katika kijiji cha Mseko juu ya kilimo bora na matumizi bora ya mbegu na mbolea. ...
Posted on: November 14th, 2019
Afisa Afya wa Wilaya ya Iramba Ndg. Shilla akielimisha mambo mbalimbali yahusuyo afya kwa wanakijiji wa kijiji cha Mseko. Ni katika ziara ya mkuu wa Wilaya Mhe. Emmanuel Luhahula katika Tarafa y...
Posted on: November 14th, 2019
Afisa wa Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Iramba Bw. Benjamin Masyaga akitoa elimu kwa wanakijiji wa kijiji cha Mseko kuhusu madhara ya rushwa, njia za kupambana na rushwa n.k. Nyuma yak...