Posted on: March 19th, 2019
Mhe, Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Emmanuel Luhahula,
amefanya ziara leo tarehe 19.03.2019 katika Tarafa ya
Ndago kata ya Ndulungu.
Mhe, Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Emman...
Posted on: March 18th, 2019
Wapili kulia ni Afisa Tawala, Dijovison Ntangenki akiwahutubia maafisa mbalimbali katika siku ya Wiki ya Maji eneo la Maguli leo tarehe 18.03.2019. Mpiga picha Hemedi Munga
Afisa Tawala Wilaya ...
Posted on: March 8th, 2019
Maandamano ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika viwanja vya chuo cha Ualimu Kinampanda Wilayani Iramba
Katibu tawala wa wilaya ya Iramba mkoani Singida ambaye ni mgeni rasmi katika...