Posted on: October 30th, 2018
Naibu waziri wa afya, jinsia wazee na watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amefanya Ziara ya Kikazi wilaya ya iramba.
Mhe; Dkt Faustine ametembelea hosipitali ya wilaya Kiomboi kwa ajili ya kuji...
Posted on: October 23rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel J. Luhahula amekabidhiwa madawati mia moja (100) yenye thamani ya shilingi milioni kumi(10,000,000) kutoka kwa Bwana Nsolo M. Mlozi meneja kanda ya kati wa Benki...
Posted on: October 21st, 2018
Mkuu wa wilaya ya Iramba mkoani singida Mhe. Emmanuel Luhahula amezinduzia kampeni ya furaha yangu ya kupima VVU katika viwanja vya machimbo ya Nkonkilangi tarafa ya Shelui leo Tarehe 21.10.2018. Kaul...