Posted on: July 11th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi ameungana na baraza la madiwani (fullcouncil) la Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kwenye ukumbi wa Halamshauri. Baraza hilo limeongozwa na Mweneyek...
Posted on: July 7th, 2018
Ofisi ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ya Halmashauri ya wilaya ya Iramba imefanya ziara ya kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iramba mkoani Singida.
Ujenzi wa Daraja la Mt...
Posted on: June 30th, 2018
Katibu tawala wa wilaya ya Iramba Mhe. Pius S Songoma ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida Mwl. Linno Mwageni, viongozi wa mkoa wa Singida na vion...