IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALI WATU
UTANGULIZI:
Halmashauri ya Wilaya ya Iramba ina jumla ya Tarafa 4, Kata 20, Vijiji 78, Vitongoji 392, Idara13, Vitengo 6 na jimbo moja (01) la Uchaguzi ambalo ni Iramba.
Halmashauri ya Wilaya ya Iramba ina jumla ya watumishi 1745. Ambapo watumishi hawa wamegawanyika katika Makundi Mawili waliopo Makao Makuu ya Halmashauri na waliopo sehemu za kutolea huduma kama Hospitali , Zahanati , Shule , Ofisi za Kata na vijiji.
IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALI WATU:
Idara ya Utawala ni kiunganisho kikuu cha Idara zingine, Idara hii ina jumla ya watumishi 144.Watumishi wa idara hii ni pamoja na Mkurugezi Mtendaji (W), Maafisa Utumishi, Makatibu wa Kamati, Makatibu Muhtasi, Madereva ,Walinzi ,Watunza Kumbukumbu, Wasaidizi wa Ofisi , Watendaji wa Kata na Watendaji wa Vijji.
Majukumu ya Idara ya Utumishi
NB. HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA INA MAZINGIRA MAZURI NA WEZESHI KWA MTUMISHI KUFANYA KAZI KWA UFANISI NA KUPELEKEA MTUMISHI HUYO KUYAFIKIA MALENGO BINAFSI IKIWEMO UJENZI WA MAKAZI BINAFSI KUJIENDELEZA KIMASOMO NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.
KARIBUNI SANA IRAMBA
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.