KITENGO CHA TEHAMA
Kitengo Cha TEHAMA na Uhusiano ni moja kati ya Vitengo 6 Vilivyopo Chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba na kinahusisha sekta mbili ambazo ni Sekta ya TEHAMA na Sekta ya Uhusiano, Kitengo cha TEHAMA kilianzishwa Tarehe 08/06/2011 baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya mabadiliko katika muundo kwa kuongeza vitengo katika Serikali za Mitaa kutoka vine mpaka sita. Jukumu kuu la Kitengo hiki nikusaidia katika masuala ya kiufundi ya TEHAMA kwa watumishiwa halmashauri ya wilaya. na Jamii yake kwa ujumla Pia kutoa taarifa sahihi na katika muda muafaka kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Majukumu ya kitengo ni kama ifuatavyo:-
AFISA TEHAMA
Aidha katika kitengo cha TEHAMA kinapaswa kuwa na wataalam kama web developers, Network Engineers, IT technician.
AFISA HABARI
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.