• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

Planning and Statistic Dept

IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NAUFUATILIAJI

UTANGULIZI

Idara ya Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 na Vitengo 6 vinavyoundaHalmashauri ya Wilaya ya Iramba. Idara hii ina jumla ya watumishi 9 wakiwamoWachumi watano (4), Watakwimu wawili (1), Katibu Muhtasi mmoja (1), Msaidizi waOfisi mmoja (0) na Dereva mmoja (0).

Idara hii ni kiungomuhimu kwa ustawi wa Halmashauri na inatekeleza majukumu yafuatayo; 

  • Kuanzisha, kuhimiza,     kushauri na kuratibu mchakato wa uandaaji wa mipango na bajeti ya kila     mwaka ya Halmashauri ya Wilaya kuanzia ngazi ya Vijiji, Kata na Wilaya na     kuhakikisha upangaji wa mpango wa Halmashauri unaanzia ngazi ya chini     kwenda juu (“bottom up approach”)
  • Kuwezesha vijiji vya     Halmashauri ya Wilaya kutekeleza mipango au miradi ya maendeleo katika     maeneo yao kupitia fedha ya ruzuku ya serikali ya kila mwaka.
  • Kumshauri Mkurugenzi     Mtendaji wa Halmashauri juu ya vipaumbele vya Halmashauri ya wilaya kwa     ajili ya utekelezaji wa kila mwaka kulingana na kanuni na miongozo     inayotolewa kila mara na serikali.
  • Kushirikiana na Wakuu wa     Idara katika kuona kuwa Halmashauri ya Wilaya inayatimiza majukumu yake ya     kutoa huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi.
  • Kuratibu uandaaji wa taarifa     mbalimbali za maendeleo na kuziwasilisha kwa viongozi wa mkoa na Taifa     wanaotembelea Halmashuri yetu.
  • Kuratibu ukusanyaji wa     takwimu, shughuli za utafiti na kutunza kumbukumbu hizo kwa matumizi ya     Halmashauri ya Wilaya.
  • Kufanya ufuatiliaji na     tathmini (M & E) ya hali ya utekelezaji wa miradi na shughuli mbalimbali     zinazotekelezwa na Halmashauri kila robo mwaka, kuandaa taarifa na     kushauri kulingana na hali ilivyo;
  • Kushauriana na asasi zisizo     za kiserikali juu ya aina ya shughuli zinazotekelezwa na maeneo ya     utekelezaji ili kuhakikisha matumizi mazuri ya rasilimali zilizopo.
  • Kuratibu zoezi la uandaaji     wa mpango mkakati wa Halmashauri ya Wilaya wa miaka mitano (5) na     kufuatilia utekelezaji wake kwa kipindi husika na
  • Kuratibu na kushauri     utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofadhiliwa na wahisani.

 

Dira ya Halmashauri:

Kuwa na jamiiinayoishi maisha bora na endelevu ifikapo mwaka 2021

Dhima ya Halmashauri:

Kutoa huduma borakwa jamii kupitia matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo kwa maendeleo endelevuya wananchi.

 

 

Malengo ya Halmashauri:

  • Uboreshaji huduma na     kupunguza maambukizi ya VVU katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba.
  • Utekelezaji wa mpango     mkakati wa kitaifa wa mapambano dhidi ya rushwa katika Halmashauri ya     Wilaya ya Iramba 
  • Uboreshaji wa upatikanaji na     utoaji wa huduma bora za jamii kwa usawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
  • Uongezaji wa huduma bora za     kijamii na kimiundombinu katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
  • Uimarishaji wa Utawala bora     na Sheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
  • Uendeshaji na ushirikishwaji     wa wadau na jamii katika mchakato wa kuandaa mipango na kutekeleza     shughuli za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
  • Uboreshaji wa utunzaji     endelevu wa maliasili na Mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
  • Uboreshaji wa teknolojia ya     Habari na Mawasiliano katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

Maadili ya taasisi (Core values)

Halmashauri yaWilaya ya Iramba katika utekelezaji wa Mpango mkakati wake inazingatia mamboyafuatayo:-

  • Ufanyaji kazi kwa ufanisi     (Diligence & Integrity)
  • Ufanyaji kazi kwa pamoja     (Team spirit)
  • Kuwasikiliza Wateja kwa     ukaribu (Customer focus with courtesy)
  • Uwajibikaji (Accountability)
  • Kujiendeleza kimafunzo     (Continuous learning)
  • Kujiandaa kwa Majanga na     Dharula (Disaster preparedness)


Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • KIDATO CHA KWANZA KURIPOTI SHULE January 13, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI IRAMBA October 02, 2024
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • MAAFISA ELIMU KATA 136 MKOANI SINGIDA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU USIMAMIZI WA SHULE NA UJAZAJI TAKWIMU KATIKA MFUMO WA "SIS"

    March 24, 2025
  • DC MWENDA AWASISITIZA WALIPA KODI KUFANYA MAKADIRIO YA KODI KABLA YA MACHI 31, 2025

    March 20, 2025
  • DC MWENDA NA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA WACHANGIA JUMLA YA MADAWATI 98 SHULE YA MSINGI MSANSAO ILIYOPO KATA YA MTEKENTE

    March 10, 2025
  • WALIMU WAKUU 108 WA SHULE ZA MSINGI NA MAAFISA ELIMU KATA 20 WILAYANI IRAMBA WAPEWA MAFUNZO ENDELEVU YA USIMAMIZI WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI FANISI KUPITIA JUMUIYA ZA KUJIFUNZA ZA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA

    March 19, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.