Katibu Tawala wa Wilaya ya Iramba, Bi. Bupe Mwakibete leo Mei 20, 2025 ameboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye kituo cha udhibiti ubora wa Shule Kata ya Kiomboi Wilayani Iramba.
Bi. Bupe ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Iramba kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, kuhakiki na kuboresha taarifa zao katika vituo vilivyoainishwa ili waweze kupata haki ya msingi ya kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.