• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

DC MWENDA, AFANYA ZIARA KUKAGUA MRADI WA UMALIZIAJI WA ZAHANATI YA MSAI, UJENZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI WILAYANI IRAMBA

Posted on: February 28th, 2025

DC MWENDA, AFANYA ZIARA KUKAGUA MRADI WA UMALIZIAJI WA ZAHANATI YA MSAI, UJENZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI WILAYANI IRAMBA


Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda amefanya ziara Februari 28, 2025 Kukagua mradi wa umaliziaji wa wa Zahanati ya Msai iliyopo Kijiji cha Msai kata ya Mtoa Pamoja na ujenzi wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani Iramba.


Katika ziara hiyo DC Mwenda amewaagiza wataalamu wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Msai kufanya kazi kwa uharaka na Uadilifu ili kukamilisha mradi huo ndani ya muda uliopangwa na uanze kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Juni 2025.


"Hakikisheni mnakwenda na kasi ili kuendana na muda wa ukamilishaji wa Zahanati hii, iishe kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma hapa ifikapo mwezi wa sita mwaka huu. Simamieni kwa uadilifu na ubora unaotakiwa." Amesema DC Mwenda.


Miradi ya shule iliyokayokaguliwa ni Ujenzi wa Shule mpya Kizega, Ujenzi wa Mabweni na vyumba vya Madarasa ya Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Kizaga, Ujenzi wa Shule mpya ya sekondari Mtoa, Ujenzi wa Vyumba vitano vya Madarasa na matundu 6 ya Vyoo vya wanafunzi Shule ya Msingi Tyeme, Ujenzi wa Mabweni Mawili na vyumba Vinne vya Madarasa ya Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Kinambeu.


Katika Ziara hiyo DC Mwenda ameambatana na Katibu Tawala Wilaya ya Iramba Bi. Bupe Mwakibete, Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya pamoja na Watalamu mbalimbali kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba.











Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • SIKU YA UKIMWI DUNIANI DISEMBA 1,2025

    December 01, 2025
  • MAZOEZI YA VIUNGO YA KILA IJUMAA KWA WATUMISHI NA WANANCHI WOTE WA KIOMBOI NA MAENEO YA JIRANI

    November 27, 2025
  • RATIBA YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KATA YA KASELYA

    November 25, 2025
  • DC MWENDA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WILAYANI IRAMBA KWA MATOKEO MAZURI MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

    November 24, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.