Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mkoani Singida, Suleiman Yusuph Mwenda akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Michael Matomora, na Afisa Maendeleo ya Jamii, Magreth Christian Segu, katika hafla ya kukabidhi spika kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka kata 20 za Wilaya ya Iramba iliyofanyika tarehe 1 Julai 2025.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.