Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameongoza mazoezi ya viungo kwa Watumishi na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Novemba 21, 2025 katika uwanja wa Halmashauri (Mabatini) uliopo mji wa Kiomboi.
Ukiwa ni utaratibu wa mazoezi ya pamoja kila Ijumaa ili kujenga ushirikiano na kuimarisha afya.
DC Mwenda ameendelea kuwasisitiza Watumishi pamoja na Wananchi Wilayani Iramba kuendelea kujitokeza kwa wingi kila siku ya Ijumaa ili kufanya mazoezi ya pamoja.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.