• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Comments |
Iramba District Council
Iramba District Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Iramba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

Posted on: December 9th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ametoa wito kwa walimu Wilayani Iramba kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ubunifu ili kuendelea kuinua ufaulu wa wanafunzi Wilayani hapa.


Mwenda ameyasema hayo Desemba 8, 2025 alipokuwa akifunga kikao cha Tathmini ya Matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE 2025) kilichofanyika katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, na kuhudhuriwa na walimu wakuu wa shule za msingi, Maafisa elimu kata, Afisa Ajira Cosmas Cosmas kutoka Tume Ya Utumishi Wa Walimu (TSC) Wilaya na Mthibiti Ubora Mkuu wa Shule Wilaya Bi. Neema Makia.


"Niwaombe tuongeze nguvu, juhudi na ubunifu katika kazi zetu. Tuipende kazi hii ili kuendelea kufanikisha ongezeko la ufaulu Wilayani Iramba, pasiwe na uzembe eneo la kazi, ambao utatukwamisha." Amesema DC Mwenda


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Michael Matomora aliwataka washiriki wa kikao hicho kutekeleza maazimio yote ya kikao hicho ili kuboresha zaidi sekta ya elimu. Pia, alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya walimu katika kufanikisha malengo ya elimu wilayani Iramba.


Halmashauri ya Wilaya ya Iramba imepata ufaulu wa asilimia 79.6 mwaka 2025 sawa na ongezeko la aslimia 2.3 la mwaka 2024 lenye ufaulu wa asilimia 77.3 katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba). Ikumbukwe kwamba kuanzia mwaka 2023 hadi mwaka 2025 kumekuwa na ongezeko la ufaulu kwa asilimia 15.

Announcements

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO (MBEGU, MBOLEA NA VIUATILIFU) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA DISEMBA 29-30, 2025

    December 28, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026

    December 25, 2025
  • DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

    December 09, 2025
  • HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2025
  • View All

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
More Videos

Quick Links

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Related Links

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    KIOMBOI, IRAMBA

    Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Telephone: 026 - 2532253

    Mobile: 026 - 2533001

    Email: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.