Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda anawashukuru Wananchi wote wa Wilaya ya Iramba, Wadau mbalimbali wa Maendeleo, Wakulima, Wafugaji, Watumishi,Wasanii mbalimbali kwa kufanikisha ujio wa mwenge wa Uhuru Julai 21, 2025.
Mwenda ameyàsema hayo Julai 22, 2025 mara baada ya kukabidhi Mwenge wa Uhuru na itifaki yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.