HAFLA YA MAKABIDHIANO YA MAGARI KWA WAKUU WA WILAYA MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amekabidhi gari jipya kwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha mazingira ya kazi kwa viongozi wa mikoa na wilaya.
Makabidhiano hayo yamefanyika Mei 19, 2025 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo magari mapya kwa wakuu wa wilaya za mkoa wa Singida ambao ni pamoja na Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Manyoni na Singida, ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kiutendaji kwa ufanisi zaidi.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.