HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI
Katika kuadhimisha wiki hii ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama Duniani iliyoanza tarehe 1/8/2025 na inatarajiwa kuhitimishwa 7/8/2025 Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kupitia kitengo cha Lishe, imeendelea kutoa elimu kwa wakina mama wanaonyonyesha na wajawazito.
Huduma hii muhimu imekuwa ikitolewa katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya pamoja na ngazi ya jamii.
Nenda kapate Elimu.
"Thamini Unyonyeshaji: Weka Mazingira Wezeshi kwa Mama na Mtoto"
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.