Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa Iramba in Dar es salaam(IDA) Mhe. Nicholaus A. Kinyau amekabidhi mifuko ya saruji 20 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Ndago Wilaya ya Iramba.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni akitoa neon la Shukurani Kwa Viongozi Kutoka IDA kwa Kuchangia Mifuko 20 ya Saruji kwa Ajili ya Ukarabati na Ujenzi wa Kituo cha Afya Ndago Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni akifanya usafi na Wananchi kwenye Jengo linalokarabatiwa katika Kituo cha Afya Ndago Wilaya Iramba
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.