Timu ya Karata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba imeshika nafasi ya kwanza kitaifa (MCHEZO WA KARATA) katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yaliyo hitimishwa leo Agosti 29, 2025 jijini Tanga.
Tarehe 25 Agosti, 2025, mchezaji kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Silas William alishinda mechi ya FAINALI ya mchezo wa Karata dhidi ya mpinzani wake Godfrey Bahebe kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na kufanikiwa kuwa Bingwa kundi la wanaume kwa ustadi mkubwa.
Jumla ya Halmashauri 150 zimeshiriki mashindano haya mwaka huu 2025.
IRAMBA DC TUMEWAKILISHA ☑️

KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.