Timu ya Karata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba inaendelea kukimbiza katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yanayoendelea kufanyika jijini Tanga.
Leo, Tarehe 25 Agosti, 2025, mchezaji Silas William ameendelea kufanya vizuri na kufanikiwa kuingia hatuna ya 16 Bora kundi la wanaume kwa ustadi mkubwa.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.