IRAMBA DC YATINGA FAINALI MBIO ZA MITA 400 SHIMISEMITA 2025, TANGA
Timu ya riadha kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba inaendelea kuonyesha ubora wake katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yanayoendelea kufanyika jijini Tanga.
Leo, Tarehe 24 Agosti, 2025, mwanariadha Verynice Meena ameendelea kufanya vizuri akishika nafasi ya nne katika mbio za mita 400 (kundi B – wanawake), na hivyo kufuzu hatua ya fainali ya mbio hizo.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.