IRAMBA YAKABIDHI MWENGE WA UHURU SINGIDA MANISPAA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mheshimiwa Suleiman Yusuph Mwenda, Amekabidhi Mwenge wa Uhuru 2025 kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mheshimiwa Gondwin Gondwe, tarehe 22 Julai 2025, katika viwanja vya Ititi tayari kwa kuanza mbio za Mwenge wa Uhuru katika Manispaa hiyo kwa kutembelea Miradi 8.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.