JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WILAYANI IRAMBA LATOA ELIMU YA KINGA DHIDI MAJANGA YA MOTO KWA MADIWANI NA WANANCHI
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilayani Iramba limetoa mafunzo ya kinga na tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa wajumbe wa Baraza la Madiwani pamoja na Wananchi waliohudhuria kikao cha Baraza la Robo ya Tatu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, kilichofanyika tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba.
Mafunzo hayo yalifanyika chini ya usimamizi wa Kaimu Afisa Zimamoto wa Wilaya (DFO), ASF Judith Kweka, ambapo Fc Justin Mathias kutoka Kituo cha Zimamoto Wilaya ya Iramba aliwaelekeza Madiwani pamoja na Wananchi kuhusu mbinu sahihi za kuzima moto kwa kutumia fire blanket na kizima moto cha kubebeka (portable fire extinguisher) aina ya *Dry Chemical Powder.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.