M/Kiti wa kamati ya siasa ya Halmashauri kuu ya wilaya - Iramba na Jopo la wajumbe wake akikagua utekelezaji wa Ilani ya chama katika Mradi wa maji Mlandala katika kata ya Urughu wilayani Iramba. Ziara ya Kutembelea miradi na vikundi ilifanyika leo tarehe 17/06/2019 ambapo kamati iliambatana na Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Wataalam wa Halmashauri.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.