Kongamano la Vijana kutoka ALLIANCE IN MOTION GLOBAL walipo Kiomboi - wilayani Iramba, Kuelekea siku ya Mwenge wa Uhuru tarehe 21 July, 2025.
Mada zilizojadiliwa kwa vijana hao ni pamoja na;
01: Mapambano dhidi ya Dawa za kulevya
02: Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
03: Mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI
04: Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha
Jumla ya vijana 115 walishiriki Kongamano hilo Julai 16, 2025 katika ofisi ya kata ya Kiomboi.
"Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.