Pichani ni Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi akizungumza na wakulima, wasindikaji, wanunuzi na wadau wengine wa zao la Alizeti katika kongamano lililoshirikisha wakulima wa Alizeti katika wilaya ya Iramba. Kongamano hilo lilifanyika tarehe 20/05/2019 katika Kijiji cha Nselembwe, kata ya Shelui wilayani Iramba ambapo mkuu wa mkoa alijadili mambo mengi yahusuyo kilimo cha Alizeti zikiwamo changamoto , mbegu bora, n.k. Pia aliwakabidhi wakulima jengo maalum kwa kutunzia mazao mara baada ya kuvunwa.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.