Leo, tarehe 14 Oktoba, 2025, Taifa letu linakumbuka miaka 26 tangu kuondokewa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyekuvwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwalimu wa maadili, umoja na utu.
Urithi wake wa hekima, uadilifu na uzalendo unaendelea kuwa dira ya uongozi na maendeleo ya Tanzania.
Mungu aendelee kulilinda Taifa aliloliasisi.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.